LULU AANZA MAKEKE YAKE
Actress mwenye jina kubwa Swahiliwood Elizabeth Michael(Lulu) ameanza
kuwa active katika social media ikiwemo twitter na kuandika na hata
ku-share picha ili mashabiki wake waone. The sexy and talented actress
ambaye amecheza films kibao kama Oxygen, Woman of Principal, House Boy,
Tattoo, Family Disaster ame-share picha zake akiwa na best yake.
Inawezekana tayari Lulu ameshapata film offer so ameamua kujitokeza
rasmi ili mashabiki wake waliom-miss wajue anakuja. Angalia picha hizo
Lulu amezidi kuwa mrembo huku akionekana kama amemis kula bata.



Post a Comment