Lema matatani tena, polisi wavamia studio
Kwa ufupi
Lema akishirikiana na wasanii watatu wa muziki wa
kizazi kipya, John Mkoloni na wawili mapacha kutoka Kundi la Wagosi wa
Kaya la jijini Tanga, ametunga nyimbo nne ambazo ni Jimboni, Mh Rais,
Usiogope na Tunahusika.
Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema (Chadema)
Nunua GAZETI LA MWANANCHI KUSOMA ZAIDI LEO 16-03-2013

Post a Comment