Tatizo la kukosa hisia(lack of sexual desire)
Mimi ni msichana mwenye miaka 25.Nilivunja ungo nilipokuwa na miaka 14
wakati nikiwa darasa la nne.
Nilipata boyfriend ambaye tulikuwa pamoja
kwa muda wa miaka mitatu. Ndiye alikuwa mwanaume wangu wa kwanza.
Nilikutana naye kimwili mara tatu lakini mara zote sikuwahi kuwa na
hisia na nilikuwa nafanya ili kumridhisha.
Nilikuwa nalala kitanda
kimoja hata usiku mzima na sikupata msisimko wa aina yoyote. Hatimaye
tumeachana miaka mitatu iliyopita. Kwa kweli sijui nifanye nini ili niwe
kama wanawake wengine.
Habari na www.paulmasua.com

Post a Comment