SOMA HII:KALI ZA VALENTINE
Enzi hizo ulikuwa
Tanzania ukakutana na mdadaa mrembo ukaanza nae mahusiano ya kimapenzi,
mmedumu katika mahusiano kwa muda mrefu,
Binti akapata mimba, Kama tulivyo vijana wa kisasa kuruka kwamba mimba sio yako, na ukakataa katakata kukubalia na Binti kua mimba ni yako. Ukamtosa kimoja binti wa watu akalea mimba peke yake. Baada ya muda mfupi ukapata kazi ulaya na kusahau kabisa kama umeacha binti mwenye mimba yako. Binti aliilea mimba kwa shida na kujifungua salama,
Mungu amemjalia kupata mtoto wa kike akamlea na kuwa mkubwa, wanaume wengi hawazeeki haraka kama wadada mtoto kawa mkubwa na mrembo Kuliko mama yake, kutokana na wapesi wa mawasiliano kwa sasa kupitia mitandao ya kijamii mawasiliano hua ni ya haraka saana.
Jamaa wakati yuko Ulaya akabahatika kupata profile ya msichana aliemuona ni mrembo saana na kumpenda, Akaanza nae mahusiano kwa mawasiliano kwa mawasiliano kabla ya kumuona live,
Mapenzi yakanoga na jamaa akarudi Mara kadhaa Tanzania na kukutana nae kimwili mrembo wake mpya wa Tanzania na kadhamili kumuoa Ingawa yeye ni mtu nzima kidogo kuliko binti lakini kwa sabau ya hela Binti akaona umri sio tatizo saana kwani jamaa hakuwa mkubwa saana. Ilipofika wakati wa valentine 14/2 ujamaa aliamua kurudi Tanzania ili kufurahia siku ya wapendanao na mwanamke ampendae kuliko woote maishani mwake,
Mapenzi yaliendelea kwa kipindi jamaa yupo hapa nchini, na siku ya Wapendanao ilipofika wakaamua kwenda sehemu tulivu kuwekeana na ahadi kwamba lini atakuja kumuoa, Binti baada ya kuona siku hiyo ni rasmi saana kwake kwani jamaa alikuwa anataka kumvalisha Pete ya uchumba,
binti akaamua kuwataarifu baadhi ya marafiki zake pamoja na mama yake kwa Mara ya kwanza kwamba mchumba wake ameahidi kumvalisha Pete siku hiyo. Hivyo mama pia alikuwa mmoja wa wageni waalikwa kwenye tukio hili la upendo.
Kutokana na tatizo la foleni Dar mama alichelewa kufika kwenye tukio na kukuta jamaa kashamvalisha pete na wakati mama anaingia alikuta Shamra shamra za marafiki wa binti wakiwapongeza kwa hatua nzuri iliyofikiwa, huku bibi na bwana mtarajiwa wakiwa wamekumbatiana wakila denda hadharani Kila mmoja akimdhilishia mwenzie kwamba nakupenda zaidi ya mwingine yoyote hapa duniani.
Mama ilibidi aanguane na aliowakuta kuendelea kuwapigia makofi. Huku mwanaume akiwa ameleekezea mgongo wanakoingilia wageni. Baada ya marafiki wa binti kuimba,
Mamamaaaa, na kuitikia wengine mamamaaa. Ilibidi waachiane kukumbatiana na kumkaribisha mama.
Baada ya kugeuka na kuonana USO kwa USO. Mama alimkumbuka jamaa mama akaangua kilio na wageni kumtuliza kua ukubwa huo mama wakidhani kuwa mama analia kwani baada ya siku kadhaa ataondokewa na Binti yake mpendwa aliemuona kama fundisho la maisha yake na kumuacha peke yake ingawa mama kipindi hicho alikua na kazi nzuri ya kujikimu maisha yake. Baada ya kutulizwa na kujikaza kuongea mama alipewa mic ili aeleze anavyojisikia kwa binti yake kupata mtarajiwa wake.
Mama: msinione nalia jamani furaha ni Jambo la kawaida kwa tukio kama hili la upendo.
Ila ninacholia sio furaha tuu bali. Binti yangu toka akue hamjui baba yake,
Watu wakajua anamtambulisha rasmi baba yake mzazi kwa sababu. Mama aliongozana na handsome lwa kiutu uzima wakati anaingia kumbe Yule alikuwa mgeni mwalikwa alie kutana nae tuu getini.
Mama. Akaendelea huku machozi yakiendelea kumtoka.
"NINACHOLIA NI KWAMBA MCHUMBA ANAETAKA KUNITAMBULISHSA NI BABA YAKE MZAZI ALIENITELEKEZA MIAKA KADHAA ILIYOPITA NA KUIKTAA KATAKATA MIMBMA YA MTOTO HUYU.
Jamaa kumuangalia vizuri kweli yule mrembo aiemtelekeza miaka kadhaa iliyopita na alipomuuliza asibitishe. Kauli ya mama.
Jamaa. Akamjibu. Ndio kweli.
Binti akaanguka chini. Na kuzimia, mama baba pia wakaanguka chini woote na. Kuzimia, imekuwa tafarani.
Swali: kama wewe ndio jamaa utafanyaje?
Kama wewe binti utafanyaje na baba Hana alipokubakisha katika Mwili wako?
Na Je? Kama wewe ni mama pia utafanyaje?
VALENTINE NJEMA WAPENDANAO:

NA HB MAJE:

Post a Comment