KOCHA wa timu ya taifa ya Nigeria, Steven Keshi ataendelea kuifundisha timu hiyo
Mgogoro uliopo kati ya Keshi na Shirikisho la Soka la Nigeria-NFF lilipelekea kocha huyo mwenye umri wa miaka 51 kutangaza kujiuzulu katika kituo cha redio cha Metro FM nchini Afrika Kusini. Lakini mara baada ya waziri huyo kufanya nayemazungumzo jana jijini Johannesburg alifanikiwa kumshawishi kocha huyo kuendelea na kibarua chake ingawa haikufafanuliwa kwa undani mazungumzo yao yalihusiana na nini.
Post a Comment