ad

ad

Afya ya msanii wa vichekesho Bi.Tumaini Mwakibibi ‘Matumaini’iposhwari.



SHIRIKISHO la filamu nchini(TAFF) limesema, limefurahishwa na taarifa iliyotolewa na madaktari wa hospitali ya Amana kuwa afya ya msanii wa vichekesho Bi.Tumaini Mwakibibi ‘Matumaini’iposhwari na wamemruhusu kurudi nyumbani.
Powered by Blogger.