ad

ad

MWILI MAREHEMU LYDIA LEO WA CHUO KIKUU CHA ST. JOHN DODOMA WAAGWA

Marehemu mama yetu na mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO
Hapa wanafunzi pamoja na walimu wakijipanga kuupokea mwili wa marehemu mama yetu, mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO






Uzuni majonzi ndio iliyotawala moyoni mwetu kwa kumpoteza mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO






Wanafunzi wakiwa ukumbini kwa ibada ya kumuaga mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO



  Bwana alitwa na bwana ametoa. Twamuomba Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi. Amen. Mwili wa marehemu umesafirishwa kuelekea Matombo mkoani Morogoro kwa ajili ya mazishi.
Powered by Blogger.