KWA WALE WATU WANGU WALA MIRUNGI, HII NDIO RAHA YAKE
| Yaaani hii kitu inabidi ihalalishwe fasta! Ni nomaaaaaaa. Kudaadeki. We acha tu. Uwe na Big G zako pakti mia nane, sukari, pipi zile nyeupe ama karanga za kulainisha taksim!! Halafu pembeni uwe na cocktail ---- labda juice ya ukwaju na Konyagi lazima maisha uyaone matamu sanaaaaaa. Stimu zake we acha tu. Ila raha yake muwe kwenye kampani. Mziki mtamu slow kwenye jamvi labda kibarazani, ama safari ya mbali. Rahaaaaa. Ihalalishwe tu. |
Post a Comment