ad

ad

ARSENAL, MAN UNITED ZAANGUSHA MOJA MOJA FA CUP



ARSENAL na Manchester United, zimefanikiwa kuingia raundi ya 4 ya kombe la FA baada kila moja kuibuka na ushindi wa 1-o.
Jack Wilshere aliifungia Arsenal bao pekee dhidi ya Swansea katika dakika ya 86 huku Wyane Rooney aliyerejea uwanjani akiifungia Manchester United dakika ya 9 dhidi ya West Ham.

Jack Wilshere baada ya kufungia Arsenal bao
Wayne Rooney dribbles through
Rooney akichanja mbuga kwenda kufunga goli
Wayne Rooney celebrates
Rooney akishangia na wenzake baada ya kuifungia Man Utd
Arsenal iliyokuwa nyumbani iliwasilishwa na Szczesny 6, Diaby 6 (Ramsey 6), Sagna 7, Mertesacker 6, Vermaelen 6, Wilshere 8, Giroud 5, Walcott 6, Cazorla 6, Coquelin 6, Gibbs 6.

Manchester United ambayo nayo ilikuwa nyumbani iliwakilishwa na Lindegaard 6, Rafael 7, Buttner 7, Smalling 7, Jones 6, Valencia 6, Anderson 6 (Carrick 6), Giggs 8, Nani 6 (Scholes 6), Hernandez 7, Rooney 7.
Powered by Blogger.