Castle Lite Extra Cold Draught Yazinduliwa Kwa Shangwe Kubwa Dar


Akizungumza katika uzinduzi huo Bw. Isaria Kilewo Meneja Masoko Msaidizi wa bia ya Castle LITE amesema “Castle lite imezindua mabomba mapya ambayo yana barafu ili bia inapopita inapata ule ubaridi haswa ili kumpa mnywaji ladha ya kipekee. Aliendelea kusema kuwa mabomba hayo yamezinduliwa Dar es Salaam ila kutakuwa na maeneo mengine ambayo mabomba haya yatapatikana.

Meneja Masoko wa bia ya Castle LITE Bi. Amou Majok na Meneja Masoko Msaidizi Bw. Isaria Kilewo walikionesha gloves zao tayari kwa kuzindua Extra ColdDraught Taps katika uzinduzi uliofanyika Club Elements
Matukio mengine katika picha

Post a Comment