ad

ad

Agness Masogange Amchana Mwigizaji Johari

VIDEO queen sexy wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ hana muda na mtu ambaye hakujihusisha na na matatizo aliyoyapitia hivyo hajisumbui naye kwa lolote.

Masogange amesema kuwa, kuna watu wamekuwa wakimuuliza kwamba, mbona hakuonekana kwenye msiba wa mama wa mwigizaji Blandina Chagula ‘Johari’, Asha Chagula bila kujua kuwa Johari hajawahi kushiriki chochote kwenye tatizo lake.

“Kama mtu hanijali kwenye shida zangu na mimi siwezi kumjali,” alisema.

No comments

Powered by Blogger.