Sanchez Rasmi Ndani ya Man U, Mashabiki Meno Nje
Baada ya mshambuliaji Alexis Sanchez kukamilisha
uhamisho wake kujiunga na Man United. Sanchez, 29, anakuwa na mshahara
mkubwa zaidi katika kikosi cha Man United inafikia pauni 600,000 kwa
wiki. Yaani £350,000 ni mshahara, £100,000 ni haki ya picha na £144,000
bonas.
Kama ni mshahara pekee bila vitu vingine, bado yeye anaongoza.
WANAOONGOZA KWA MSHAHARA MAN UNITED NA MAN CITY
Sanchez: £350,000.
Paul Pogba – £290,000,
Romelu Lukaku – £250,000
Zlatan Ibrahimovic – £220,000
Manchester City:
Sergio Aguero na Yaya Toure -£220,000.
HAKI YA PICHA – £100,000(KWA WIKI)
BONAS-£144,000 (KWA WIKI)
Post a Comment