Rais Magufuli Alivyomtembelea Kingunge (Video + Picha)
Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.
Hali hii ya kulazwa kwa Mzee Kingunge inakuja wakati Mke wake, Peras Kingunge akiwa amefariki dunia juzi Alhamisi Januari 4, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo bado ahajzikwa.
Post a Comment