ad

ad

Exclusive: Sherehe ya kuchumbiwa kwa Wolper, Picha Zote Bofya Hapa (Video)

Sherehe hiyo iliyohusisha msafara mkubwa wa magari kutoka jijini Dar, ilifanyika Moshi, wikiendi iliyopita nyumbani kwa bibi yake. Kwa mujibu wa chanzo kilichoshuhudia tukio hilo mwanzo mwisho, Wolper alisafiri na mchumba aliyefahamika kwa jina la Sadiki Athanasy Sanga ‘Engine’ hadi kijijini kwao Moshi kulipoandaliwa sherehe baab’kubwa. 

“Ilikuwa ni msafara mkubwa wa magari. Tulitoka Dar tukiwa na shemeji yetu ambaye kimsingi si wa spotispoti maana aligharamia kila kitu. “Kuanzia msafara, mavazi na hata sherehe nzima huku Moshi ni kama alisimamia mpango mzima,” kilisema chanzo hicho.

No comments

Powered by Blogger.