Wananchi Waipomgeza Vodacom Kwa Huduma ya Pesa ni M-Pesa (Video)
Wageni mbalimbali wameendelea kujipatia simu bomba katika gulio la #SimuExpo linaloendelea hapa City Mall na Mlimani City jijini Dar Es Salaam. Tupo mpaka Jan 2, 2018. Karibuni sana.
Post a Comment