Rose Ndauka Atoa Ajira ya Kuendeleza Urembo
Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka.
Akiongea Rose alisema kuwa kwa upande wa filamu bado yupo na anatarajia kutoa filamu mpya hivi karibuni lakini kikubwa analichokifanya ni kuwapa vijana ajira ambapo amefungua kiwanda cha urembo ‘house of beauty’ na hivi karibuni atazindua.
“Nimefanya mambo makubwa sasa baada ya ukimya wangu kwani nimefanikiwa kutoa ajira kwa vijana kama kuletea taifa maendeleo na siku si nyingi nitafanya uzinduzi ambapo nitaainisha zaidi ninachokifanya,” alisema Rose Ndauka.

Post a Comment