ad

ad

MWANZO MWISHO: Shoo ya Dkt Shika, ya Usiku wa 900 Itapendeza

Ni shoo ya usiku wa 900 ITAPENDEZA, iliyoandaliwa na Globaltv, kwa ajili ya kumsogeza karibu na watanzania, Dkt Luis Shika, ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kupitia nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi, ambazo alitaka kuzinunua lakini ikashindikana na tukio hilo ndilo lililoibua msemo wa 900 Itapendeza. Shoo imefanyika katika ukumbi wa Dar Live, uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar.

No comments

Powered by Blogger.