ad

ad

Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Dec 1, 2017



MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Tausi Mdegela amefungukia gauni ambalo aliliva katika Tamasha la Fiesta kuwa limemfanya kuondoa nuksi ya kutokuolewa.


Akizungumza na Star Mix, Tausi alisema kuwa kuvaa gauni lile tayari amesafisha nyota yake hivyo katika suala la ndoa hana shida wala kuliwazia.


“Nafurahi nimejitoa nuksi kabisa kwa kuvaa hili shela, sina tena hofu na ndoa na hata kama haitakuja kutokea kwangu mimi ndio nishavaa hivyo,” alisema Tausi na kumwagia sifa meneja wake, Lamatta ambaye ndiye aliyetoa wazo hilo

No comments

Powered by Blogger.