Kajala Masanja Aweka Historia Ya Kunfunga Mwaka Bila Kugusa Pombe
MKALI wa Bongo Movies mwenye figa matata, Kajala Masanja ‘Kay’ amemshinda shetani kwa kuweza kukaa mwaka mmoja bila kugusa pombe
‘ulabu’ kwani aliamua kufanya uamuzi huo mgumu ambao huwashinda mastaa
wengi.

Akizungumza Kajala alisema kuwa, kuna umuhimu wa kujipongeza kwa sababu ndani ya mwaka 2017, hicho ni miongoni mwa mambo makubwa aliyofanikiwa.
“Watu wengi wanajaribu kufanya kama nilivyofanya, lakini inashindikana hivyo kwa kuf
anikisha hili, ninajipongeza sana kwani nimefanikiwa kumshinda shetani,” alisema Kajala.

Post a Comment