ad

ad

Breaking News: Akina Maalim Seif Wafunguka Usiku Huu Kwa Kujiuzulu Ubunge "Maulid Mtulia"



Chama cha wananchi CUF upande unao muunga mkono Katibu Mkuu Maalim seif sharif Hamad, kimesema Kimefurahishwa Na Uwamuzi Wa Alie kuwa Mbunge Kinondoni, jijini Dar es Salam, Maulid Mtulia kujiuzulu ubunge na kujivua uanachama wa Chama cha Wananchi CUF na kuhamia CCM. 

Sauti Ni Ya Mkurugenzi Wa Uchumi Na Fedha Wa CUF ambaye ni Kaimu NAIBU MKUU Wa CUF Bara Mhe. Joran Bashange Wakati Akizungumza Na Zanzibar 360.

No comments

Powered by Blogger.