ad

ad

Bakwata Watoa Tamko Tishio La Kumuondoa Mufti



Sheik wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum, akiongea na wanahabari akikanusha taarifa za kumwondoa Mufti jijini Dar es Salaam leo.

Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Dar es Salaam limewalaani vikali watu waliotoa na kusambaza taarifa za uongo na uchochezi kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini wakiwa na lengo la kumchafua Mufti wa Baraza hilo kwa ujumla.
Taarifa hiyo tunaiweka hapo chini kikamilifu:

(HABARI NA ABED LIJEY | GLOBAL TV ONLINE)

No comments

Powered by Blogger.