ad

ad

Video: Mwigulu Nchemba Akitunukiwa PHD Ya Uchumi na Jakaya Kikwete Ya UDSM


WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba leo amehitimu Shahada ya Uzamivu (PHD) ya Uchumi kwenye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) ambapo mahafali hayo yalifanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar. Mahafali hayo yalihudhuriwa na mkuu wa chuo hicho ambaye ni rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete.

No comments

Powered by Blogger.