Video: Maswali na Majibu Kwa Waziri Mkuu Bungeni Leo Nov 9, 2017
KATIBA:
Waziri Mkuu leo amesema vipaumbele vya serikali ya awamu ya tano ni kuboresha
maisha ya Watanzania kupitia huduma bora.
VURUGU UKONGA:
Waziri Mkuu amesema tukio la askari kuwapiga wananchi wa Ukonga, Dar,
linashughulikiwa na serikali na hatua stahili zitachukuliwa.
BUNGENI: Mwenyekiti
wa Chadema, Freeman
Mbowe leo ameuliza swali Waziri Mkuu Majaliwa kuhusu hatua gani wamechukua juu
ya kushambuliwa kwa Tundu Lissu.
BUNGENI: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema matukio ya mauaji yanayoendelea
nchini yanashughulikiwa na serikali.
BUNGENI: Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemuoji Waziri Mkuu,
Kasimu Majaliwa juu ya sabaabu za kukamatwa viongozi wa Chadema.

Post a Comment