Sanchi: Atoa Povu Kisa Kupondwa Miguu
- Jane Rimoy ‘Sanchi’.
Akizungumza Sanchi alisema kuwa ameona watu wengi wakichambua miguu yake kwenye mitandao ya kijamii lakini anaamini kwa vile wao hawana miguu kama yake ndio maana wanaichambua.
“Najua tatizo la Wabongo kama kitu wao hawawezi kukipata basi wanasingizia kitu hicho ni kibaya sasa hata ukiangalia miguu yangu ina tatizo gani kama si wivu unawasumbua tu, waende huko,” alisewaka Sanchi.

Post a Comment