ad

ad

Husna Maulid: Mkongo kwa sasa amebaki mshkaji wangu tu

MUIGIZAJI wa filamu, Husna Maulid kwa mara ya kwanza amefungukia uhusiano wake kimapenzi na Mkongo, Mwami Radjab kuwa kwa sasa wamebaki washkaji tu.


Akichonga na Star Mix, Husna ambaye alifikia hadi hatua ya kuvalishwa pete na Mwami alisema, kwa sasa hana tena mapenzi na Mwami zaidi ya kubaki marafiki. “Amebaki kuwa mshakaji tu kwa sasa na wala siyo mpenzi wangu,” alisema Husna.


Mwami aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na mastaa kibao wakiwemo Wema, Wolper, Masogange pamoja na Tunda.

No comments

Powered by Blogger.