Hii Ndiyo Hali ya Mama Lulu Baada ya Mwanaye Kuhukumiwa
MWIGIZAJI Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo amehukumiwa kwenda jela miaka
miwili na Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam kwa kosa la kumuua bila
kukusudia aliyekuwa mwigizaji wa filamu, Steven Kanumba.
Kifo cha Kanumba kilitokea Aprili 7, 2012 nyumbani kwake Sinza-Vatican jijini Dar es Salaam na mazishi yake kufanyika makaburi Kinondoni. Mbali na hukumu ya leo kwa staa huyo, aliwahi muda mrefu rumande kabla ya kupewa dhamana.
Hata hivyo, wakili Peter Kibatala amesema atakata rufaa Mahakama ya Rufaa kupinga hukumu hiyo.

Post a Comment