Blac Chyna na Playboi Carti Ndani Ya Penzi Jipya!
Chyna alitumia Snapchat yake kutangaza uhusiano huo juzikati kwa kuweka video akiwa na rapa huyo wakiendesha gari mitaa ya Los Angeles.

Wawili hao walionekana pia wakiwa pamoja kwenye jengo la ComplexCon huko Long Beach, California.
Uhusiano huo umekuja wakati ambao Chyna naye ameingia kwenye muziki wa kurap.
Post a Comment