
Staa wa filamu za Kibongo, Amanda Poshi
STAA wa filamu za Kibongo, Amanda Poshi ameibuka na kueleza kuwa
kutokana na watu wengi kulia ugumu wa maisha kwamba vyuma vimekaza,
wanaokoma na kukiona cha moto zaidi ni wale mastaa walevi.
Akipiga stori na Amani, Amanda alisema wapo mastaa waliokuwa wamezoea
kunywa pombe na kulewa kila siku lakini kwa kipindi hiki wanakoma kwa
kuwa hawana fedha za kunywa kama zamani hivyo anajipongeza kwa kuwa
katika maisha yake yote starehe yake kubwa ni soda tu.
“Sina hata tatizo na mtu maana naenda zangu sehemu nzuri nakaa
nakunywa soda huku nikitafakari mipango yangu yaani najiachia kwa raha
zangu maana ndiyo starehe yangu kubwa, mastaa waliozoea kulewa ndiyo
wanakoma maana vyuma vimekaza kweli,” alisema Amanda bila kuwataj
Stori: Gladness Mallya | Amani
Post a Comment