Sabby: Hamisa Pigania Ndoa Sasa Kwa Diamond (Video)
Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ |
MSANII wa filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amemtaka mwanamitindo Bongo, Hamisa Mobetto kupigania ndoa kwa Mbongo Fleva aliyezaa
naye, sababu dini yake inamruhusu kuwa mke wa pili.
Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ |
Boss Lady’ anapaswa kukomaa hadi ndoa ifungwe. “Namshauri Hamisa asikubali kirahisi kumkosa baba wa mtoto wake, kama vipi huyo jamaa awaoe wote wawili Zari mke mkubwa na Hamisa mke mdogo maana dini imeridhia wake hadi wanne,”alisema Sabby.
Post a Comment