Wasanii kutoka kundi la WCB wameendelea kuachia ngoma zao mfululizo. Rayvanny ameachia wimbo wake mpya ‘Unaibiwa’. Wimbo umetayarishwa na Lizer kutoka studio ya Wasafi Records.
Post a Comment