NEYMAR, MBAPPE, CAVANI WATUMBUKIA NYAVUNI PSG IKIITWANGA CELTIC 5 MTUNGI LIGI YA MABINGWA ULAYA
Kylian Mbappe amefunga bao lake la
kwanza la Ligi ya Mabingwa Ulaya akiichezea PSG katika ushindi wa mabao
5-0 dhidi ya Celtic waliokuwa nyumbani.
Pamoja na kufunga bao hilo, Edinson
amefunga bao moja, Neymar akaongeza moja huku Celtic wakijifunga bao
jingine kukamilisha mabao matano katika mechi hiyo tamu ya Ligi ya
Mabingwa Ulaya.








Post a Comment