BIFU NZITO: Duma Amlipua Gabo, Wema, VIRUSI Vyatajwa Siri Nzito Usioijua Hii Hapa
Msanii wa Filamu Daudi Michael amemlipua msanii mwenzake Gambo Zigamba
kwa kudai kuwa ni moja ya msanii ambaye anadidimiza Tansinia ya Filamu
kutokana na kupewa Hadhi kubwa ambayo kwa sasa inaonekana kama hana
anachokifanya na kuonekana kazi anazozifanya hazitoshelezi Watanzania.
Duma ambaye amesema kwa sasa anajishughulisha na kazi mbalimbali ndani na nje ya nchi na Kumtaka Gabo afanye kitu ambacho kina maana sio kujibweteka kutokana na Tunzo alizopewa kuzikalia nyumbani . Msanii huyo Katoa Povu zito baada ya Kumtaja Gambo ni moja ya Virus Katika Tansinia ya Filamu .

Post a Comment