ad

ad

Wolper Amtolea Povu Madee Kisa Video Queen





Maneno ya Wolper ...Embu ona jamani macho natia huruma kama na upwiro kilo 200 ...hii mikaka yetu ya kibongo kuna mida inaboa kuna mida inakuwa poa ..sasa Madee Rais wa Manzese nikuulize swali...ulishindwa nini kunyanyua ka simu kako nakunipigia hata kinafki na Kunambia unani Video Queen katuni sjui sanamu unajua wewe....acha Dharau wewe Pumbavu piga Simu Omba kwanza....Hata kma umlipi mtu sisi tunasaidiana wote wasanii leo kwangu kesho kwako,

🙄👉. nakunishika kimahaba umenishika una dhambi wewe kaka na suti umenivalia kwma unaenda kutoa posa kwa Masawe🙄..sasa onyooo siku nyingne ombaga utapewa acha kuparamia kama vile unaomba round kwa kimada wako kwanza unitafute utoe Hata faini ya kuniweka macho kama nimevuta ugoro...ila nyimbo kali nisiwe mchoyo na nimependa idea ila mwambie aliyenichonga nakunipa hiyo Shepu nitampasua 🙄

Embu ona jamani macho natia huruma kama na upwiro kilo 200 ...hii mikaka yetu yakibongo kuna mida inaboa kuna mida inakuwa powa ..sasa Madee Rais wamnzese nikuulize swali...ulishindwa nini kunyanyua ka cm kako nakunipgia ata kinafk nakunambia unanivdio queen katuni sjui sanam unajua wewe....acha dharau wewe pumbavu piga cm omba kwanza....ata kma umlipi m2 sisi tunasaidiana wote wasanii leo kwangu kesho kwako, 🙄👉. nakunishika kimahaba umenishika una dhambi wewe kaka na suit umenivalia kma unaenda kutoa posa kwa masawe🙄..sasa onyooo siku nyingne ombaga utapewa acha kuparamia kama vile unaomba round kwa kimada wako kwanza unitafute utoe ata faini ya kuniweka macho kama nimevuta ugoro...ila nyimbo kali nisiwe mchoyo nanimependa idea ila mwambie alinichonga nakunipa hyo shepu nitampasua 🙄 @madeeali
A post shared by Jacqueline Wolper (@wolperstylish) on

No comments

Powered by Blogger.