RC Makonda amekutana na Kamanda mpya wa Kanda Maalumu ya Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Mheshimiwa Paul Makonda leo amefanya Mazungumzo na Kamanda wa Kanda
Maalumu ya Dar es salaam Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP_
Lazaro Mambosasa aliekuja kuripoti kwa Mkuu wa Mkoa baada ya kuteuliwa
hivi karibuni na IGP *Simon Sirro.
Katika Mazungumzo hayo wamejadili hali ya Usalama Jijini Dar es Salaam na namna ya kuendeleza yale ambayo yaliachwa na IGP Simon Sirro wakati akiwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.

Katika Mazungumzo hayo wamejadili hali ya Usalama Jijini Dar es Salaam na namna ya kuendeleza yale ambayo yaliachwa na IGP Simon Sirro wakati akiwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.

Post a Comment