ad

ad

Moto Ukiteketeza soko la Sido Mbeya Usiku wa Kuamkia Leo (Video)

Moto ukiendelea kushika kasi kwenye soko hilo. 
 Usiku wa kuamkia leo Soko la Sido lililopo mkabala na maeneo ya Mwanjelwa jijini Mbeya linateketea kwa moto chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa. Moto huo ulianza kuwaka mnamo majira ya saa tatu usiku jana na kusababisha tafrani kubwa kwa baadhi ya watu waliokuwepo maeneo hayo walionesha juhudi kuuzima moto huo lakini kwa bahati nzuri kikozi cha zima moto kikawa kimeishawasili na kuendelea kupambana na moto huo uliokuwa ukiwaka kwa kasi kubwa mpaka  

No comments

Powered by Blogger.