Diamond katimiza ahadi??? aliwahi kusema kwenye Interview kusema Zari ni Mwanamke ambae anampenda na ni wa tofauti sana kwenye maisha yake hivyo atamuoa…. sasa kuna hii video imesambaa, Diamond ndio kafanya kweli? tazama hii video fupi hapa chini
Post a Comment