ad

ad

BREAKING NEWS: WAMBURA ATWAA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS TFF

 
Baada ya kuyumba kwa kipindi kirefu, hatimaye Michael Wambura amerejea tena katika usukani baada ya kushinda nafasi ya Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Wambura ameshinda nafasi hiyo akiwagaragaza washindani wake kadhaa akiwemo Mulamu Nghambi.

No comments

Powered by Blogger.