ad

ad

Breaking: Kamanda Mpya wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Azungumza kwa Mara ya Kwanza Tangu Ateuliwe


Kamanda mpya wa Kanda maalum ya Dar es Salaam, Mambosasa amezungumza na waandishi wa habari, ikiwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo.

Kamanda Mambosasa amejieleza kwamba anao uzoefu mkubwa wa kazi hiyo kwani amewahi kuwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Tarime-Rorya, alikofanya kazi kwa muda wa miaka miwili.

No comments

Powered by Blogger.