Mja
asili haachi asili na akiacha asili si jasiri hiyo imedhirika katika
Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam baada ya staa aliyekuwa anasubiliwa
kwa hamu na mashabiki wa soka Tanzania, Wayne Rooney kuchungulia nyavu
za miamba wa Kenya Gor Mahia kuindikia bao la kuongoza.
Post a Comment