Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Uboreshaji Wa Bandari Dar
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird wakivuta utepe
kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya
Dar es Salaam katika eneo la Bandari hiyo.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya
Dunia, Bella Bird mara baada ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa
Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Baadhi
ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Rais Dkt.
John Pombe Magufuli kabla ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji
wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya
Dunia, Bella Bird mara baada ya kutoa hotuba yake kabla ya uwekaji wa
jiwe la msingi Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird alipokuwa akihutubia.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki
ya Dunia, Bella Bird wakati wakitazama kipeperushi cha maelezo ya Mradi
wa Uboreshaji wa Bandari jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Edwin Ngonyani, (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya
Dunia, Bella Bird pamoja na viongozi wengine katika eneo la bandari
jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na Banana Zorro
(kushoto) na Mrisho Mpoto, mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la
Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza
muziki pamoja na Banana Zorro, Mrisho Mpoto, pamoja na Mkurugenzi Mkazi
wa Benki ya Dunia, Bella Bird mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la
Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na Banana Zorro, Mrisho
Mpoto, baada ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Uboreshaji wa
Bandari ya Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma mara baada ya tukio la uwekaji
wa jiwe la msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi wengine
waliosimama wakati Banana Zorro pamoja na Mrisho Mpoto walipokuwa
wakiimba wimbo wa Amka Tufanye Kazi kabla ya tukio la uwekaji wa jiwe la
msingi la Mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
Post a Comment