Mazishi ya Mama Zari, Uganda
Kina mama wakiomboleza.
Hali ilivyokuwa nyumbani kwa mama Zari.
Kwa mujibu wa chanzo ndani ya familia hiyo, mama Zari alipata matatizo ya moyo na figo baada ya kuanguka ghafla na kichwa chake kujigonga, hali iliyosababisha akimbizwe hospitalini haraka.Kaburi ambamo mwili wa marehemu utazikwa.
Kifo cha mama Zari ambaye alizaliwa Mei 15, 1959, kimekuja ikiwa ni takribani miezi miwili tu tangu mkwe wake, Ivan Semwanga, aliyeaga dunia Mei 25 mwaka huu huko Steve Biko Academic Hospital nchini Pretoria, Afrika Kusini.Waombolezaji wakijumuika na Zari na mama Diamond.
Waombolezaji wamefurika nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya kushiriki mazishi ya mama huyo ambaye amekuwa maarufu Afrika Mashariki na Kati kupitia kwa mwanaye Zari.Chakula kikipakuliwa.Dada wa Zari, Zuleha Hassan akiomboleza kifo cha mama yake.Jeneza lenye mwili wa marehemu likishushwa kwenye gari.Jeneza likipelekwa eneo maalum kwa ajili ya kuagwa na kufanya taratibu za mazishi.Ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu.Swala kwa ajili ya marehemu.
Kundi la matajiri lijulikanalo kama Rich Gang wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu.Mmoja wa waombolezaji akigonga pilau.
Mama mzazi wa Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Halima Hassan
aliyefariki dunia jana asubuhi, baada ya kuugua kwa wiki kadhaa na
kulazwa hospitali amezikwa leo Julai 21, 2017 katika Kitongoji cha
Munyonyo, Kampala.Hali ilivyokuwa nyumbani kwa mama Zari.
Kwa mujibu wa chanzo ndani ya familia hiyo, mama Zari alipata matatizo ya moyo na figo baada ya kuanguka ghafla na kichwa chake kujigonga, hali iliyosababisha akimbizwe hospitalini haraka.Kaburi ambamo mwili wa marehemu utazikwa.
Kifo cha mama Zari ambaye alizaliwa Mei 15, 1959, kimekuja ikiwa ni takribani miezi miwili tu tangu mkwe wake, Ivan Semwanga, aliyeaga dunia Mei 25 mwaka huu huko Steve Biko Academic Hospital nchini Pretoria, Afrika Kusini.Waombolezaji wakijumuika na Zari na mama Diamond.
Waombolezaji wamefurika nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya kushiriki mazishi ya mama huyo ambaye amekuwa maarufu Afrika Mashariki na Kati kupitia kwa mwanaye Zari.Chakula kikipakuliwa.Dada wa Zari, Zuleha Hassan akiomboleza kifo cha mama yake.Jeneza lenye mwili wa marehemu likishushwa kwenye gari.Jeneza likipelekwa eneo maalum kwa ajili ya kuagwa na kufanya taratibu za mazishi.Ndugu wa marehemu wakilia kwa uchungu.Swala kwa ajili ya marehemu.
Kundi la matajiri lijulikanalo kama Rich Gang wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu.Mmoja wa waombolezaji akigonga pilau.
Pumzika kwa Amani, Halima Hassan.
Post a Comment