KWA PICHA HIZI LULU NI KIBOKO!
Lulu na mama yake.
Lulu mwenyewe akipendeza.
Lulu ameingia kwenye rekodi hiyo baada ya hivi karibuni kuchafua mtandaoni kwa kuposti picha akiwa na familia yake, picha ambayo watu wengi wamemsifia kutokana na uzuri wa gauni alilolivaa sare na mama yake mzazi pamoja na mdogo wake wa kiume.
…akiwa na mdogo wake wa kiume.
Hakika Lulu apendeza, hadi anataka kupaa?.
Post a Comment