Halotel, Mercy Corps Waungana Kuwaiua Wakulima Nchini
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Halotel kwa
kushirikiana na taasisi ya kifedha ya MERCY CORPS leo wameanzisha mpango maalum
wa kuwawezesha wakulima nchini kujiinua
kiuchumu na kuboresha shughuli zao kwa kutumia mtandao wa Halopesa.
Kupitia Halopesa wakulima wataweza kupata mikopo
na elimu.
Kampuni hizo mbili zimefikia makubaliano ya kutoa
huduma hiyo na kutiliana saini mbele ya wanahabari kwenye hafla iliyofanyika
makao makuu ya Halotel, eneo la Victoria, jijini Dar.
Post a Comment