Serikali
ya Tanzania kupitia Waziri ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
imevitaka vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuacha kuwatuhumu
Marais wastaafu kwenye sakata la mchanga wa madini kwani majina yao
hayajatajwa kwenye ripoti ambayo Rais Magufuli ameipokea.
Katika
taarifa ambayo imetolewa na Waziri Mwakyembe imeeleza kuwa kuna baadhi
ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii wamekuwa wakituhumu Marais
wastaafu bila kujua athari zake kiasiasa na kijamii
Post a Comment