JPM Amuapisha Mama Anna Mghwira Kuwa RC wa Kilimanjaro na Kumkabidhi Ilani ya CCM

- Rais Dkt Magufuli akimuapisha mama Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es salaam Juni 6, 2017.

- Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara) Ndg. Rodrick Mpogolo akimkabidhi ilani ya CCM Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Elisha Mghwira.



- Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Anna Elisha Mgwira akiongea jambo la shukrani mara baada ya kuapishwa na Rais Magufuli kushika wadhifa huo.

- Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira akiingia kwenye gari lake kuelekea kituo chake cha kazi baada ya kuapishwa leo na Rais Magufuli.
Post a Comment