Ijumaa Figa Bomba Girl 2017: Sasha, Wema, Masogange na Sanchoka nani Kuibuka Mshindi?
- Staa wa kupamba video za muziki wa Bongo Fleva, Agnes Gerald 'Masogange'. (Namba yake ni 23).
- Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu (Namba yake ni 18) .
Modo mwenye figa ya kuvutia nchini Bongo anayekuja kwa kasi kwenye tasnia- ya urembo, Sanchoka (Namba yake ni 25).
Sasa basi, washiriki waliopo kwa sasa ndiyo watakaoelekea katika fainali itakayofanyika Sikukuu ya Idd ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem.
Unavyodhani nani kati ya Sasha, Wema, Masogange na Sanchoka ataibuka mshindi?
Jibu ni rahisi, chukua simu yako, nenda kwenye sehemu ya kuandikia SMS kisha andika SHEPU acha nafasi ,andika namba ya mshiriki unayemtaka abaki na utume kwenda 15542. Hii ni kwa wateja wa VODACOM pekee.
Bado tunaendelea kupokea wadhamini katika shindano hili. Unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na mhariri kwa namba +255 713 133 633.

Post a Comment