Acacia Wakubali Kulipa Fedha Zote za Madini, Msikilize Rais Magufuli
Rais
Magufuli akiongea na waandishi wa habari baada ya mazungumzo na
Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation Prof. Thornton, Ikulu.
Balozi
wa Canada nchini na M/kiti wa Barrick Gold Corporation (mmiliki mkubwa
wa Acacia) Prof. Thornton wakiongea na waandishi wa habari.
Katika mazungumzo hayo, Rais Magufuli amesema mmiliki huyo amekubali kampuni yake ikae meza moja ili kufanya mazungumzo na serikali ya Tanzania kuhusu yaliyoainishwa kwenye ripoti mbili za makontena ya mchanga wa madini ambazo zimeshawasilishwa kwake.
SOMA TAARIFA YA IKULU HAPA
Post a Comment