ad

ad

TANZIA: Ivan Ssemwanga (ex wa Zari) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo


 
Rest in perfect peace Ivan
Umenitoa chozi na sijuani nawe. Video clip ni post ya mwisho akiwa Uganda alirusha tarehe 11 May 2017. Uliwapenda sana sana watoto wenu wa kiume 3 na kuwajali na kuwaheshimu na Mama yao Zari..mfano mzuri kwa wababa.

Zari aliachana na Ivan na baadae kuja kuwa na Diamond Platnumz ambaye wana watoto wawili pamoja.

Moja ya biashara kubwa ni umiliki wa vyuo mbali mbali nchini South Africa, alizianzisha na Zari. Na biashara zingine, ni Tycoon Ivan.

Poleni sana kwa msiba.

No comments

Powered by Blogger.