Mwanajeshi wa Ghana Auawa na Wananchi Akidhaniwa Jambazi

- Kepteni Maxwell Mahama wa Jeshi la Ulinzi la Ghana enzi za uhai wake.
Inasemekana wananchi hao walimwua askari huyo wakidhani ni jambazi kwa kuwa alikuwa na bastola.

- Mwili wa Askari huyo ukitolewa kwenye gari.

Nitiwul alisema kwamba iwapo watu wengepiga kelele za “mwizi” ni dhahiri angewashambulia kwa risasi kwani angejua atauawa.

“Lakini inaonekana aliuawa kimyakimya bila kupigiwa kelele za mwizi. Au walimvamia bila ya yeye kujua,” alisema waziri huyo.

- Waziri wa Ulinzi nchini humo, Dominic Nitiwul.
Post a Comment