Mashabiki Wamcharukia Ben Pol Baada ya Kupost Picha Chafu Instagram
Picha ya kwanza aliyopost Ben Pol Picha ya pili aliyopost Ben Pol
Staa wa Bongo Fleva, Ben Pol ameamua kuachia picha za utata
katika akauti yake ya Instagram hivi karibuni baada ya kufuta picha zake
zilizokuwa katika ukurasa wake huo.Mashabiki zake baada ya kuweka picha hizo wote walimshambulia wakimuomba kuziondoa katika page yake lakini mpaka sasa picha hizo zimeendelea kuwepo kwenye page yake hiyo.
Mtandao huu tulimpigia simu staa huyu kujua nini kinaendelea lakini simu yake iliita bila kupokelewa na baada ya muda mfupi alijibu akiomba kutumiwa sms tu, tulipomtumia sms ya kujua kinachoendelea baada ya kuachia picha hizo hakujibu hiyo meseji.
Post a Comment